Luke 11:13

13Basi ikiwa ninyi mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa Roho Mtakatifu wale wamwombao!”

Isa Na Beelzebuli

(Mathayo 12:22-30; Marko 3:20-27)

Copyright information for SwhKC